Numbers 3:46-47
46 aIli kukomboa wazao wa kwanza 273 wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi, 47 bkusanya shekeli tano ▼▼ Shekeli tano ni sawa na gramu 55.
kwa kila mmoja, kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. ▼▼ Gera 20 ni sawa na gramu 11.
Copyright information for
SwhKC